Loading...
WAFAHAMU WASANII AMBAO WALIWAHI KUPEWA PESA NA DIAMOND ILI AFANYE NAO...

WAFAHAMU WASANII AMBAO WALIWAHI KUPEWA PESA NA DIAMOND ILI AFANYE NAO COLLABO

0


Diamond amefunguka kuhusu wasanii ambao aliwahi kuwapa pesa ili kufanya nao Nyimbo, akiongea kupitia Kipindi cha Planet Bongo cha East africa radio, Platnumz alisema amewahi kumpa Marehemu Mangwea Elfu 50, na Pia aliwahi kumpa Mr. Blue shilingi elfu 60 ili kufanya nao Collabo.

 ila pia alifunguka kuwa kwa kipindi hiko alikuwa anatoa moja kati ya maboss wake wa kipindi hiko na haikuwa pesa zake kwani kipindi hiko kifedha hakuwa vizuri

 Kila Ijumaa kipindi cha Planet Bongo huwa kinakumbushia muziki wa nyumbani wa kitambo kidogo (Old School)  na leo alikuwepo Diamond Platnumz akijaribu kukumbushia story zake za zamani.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY