WASHABIKI WAMJIA JUU FRANK OCEAN BAADA YA JAMBO HILI

WASHABIKI WAMJIA JUU FRANK OCEAN BAADA YA JAMBO HILI

0


Mashabiki wa Frank Ocean imebidi wamjie juu mara baada ya kuchelewa kutoka kwa albamu yake itakayokwenda kwa jina la Boys Don’t Cry.

Frank Ocean aliwaahidi washabiki wake atatoa albamu hiyo mwishoni wa mwezi wa saba lakini mpaka jana hakuna chochote kilichotoka na mbaya zaidi hakutoa Taarifa yoyote juu ya nini kimekwamisha.

Hali iliyofanya twitter kugeuka kama ngome ya mashambulizi ya washabiki na wapenzi wa Frank Ocean ambaye alionekana mapema leo aki LIVE STREAM hali iliyoamsha hasira kali ya washabiki waliokuwa wakisubiri albamu hiyo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY