Loading...
YANGA KUMKOSA MCHEZAJI HUYU MUHIMU KWENYE MECHI DHIDI YA MO BEJAIA

YANGA KUMKOSA MCHEZAJI HUYU MUHIMU KWENYE MECHI DHIDI YA MO BEJAIA

0

Wakati Yanga ikiwa kwenye maandalizi kwaajili ya mechi ya marudiano dhidi ya Mo Bejaia  itakayofanyika uwanja wa Taifa tarehe 13 mwezi huu.

Yanga itamkosa mshambuliaji wake Hatari Donald Ngoma ambaye anatajwa kuwa na kadi mbili za njano zitakazomfanya akose mechi inayofuta ambayo ndiyo hiyo dhidi ya Mo Bejaia.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY