Bao 5 za Yanga zamfanya HAJI MANARA kuandika haya

Bao 5 za Yanga zamfanya HAJI MANARA kuandika haya

0

Mara baada mchezo wa raundi ya 10 kati yaYanga na Mbeya City kumalizika kwa Yanga kushinda kwa bao 5 kwa 0 Haji Manara akaamua kuandika maneno ya kuwapongeza watani wake wa jadi Yanga kwa Ushindi huo.

Hongera mtani kwa kulipa kisasi leo..no matter umelipa kwa team nyingine. Kisasi ni kisasi tu.😎😎

A post shared by Haji S Manara (@hajismanara) on Nov 19, 2017 at 7:53am PST

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY