HAJI MANARA Atupa Dongo kwa YANGA, Atishia washabiki wao mitandaoni

HAJI MANARA Atupa Dongo kwa YANGA, Atishia washabiki wao mitandaoni

0

Kama ilivyokawaida yake Afisa habari wa Simba Haji Manara Kusumbua upande wa Pili kwa watani wake Yanga, Zile Goli 5 ambazo Yanga alimtupia Mbeya City ndiyo chanzo cha Manara kutupia Madongo.

Haji Manara msomaji wa Kwataunit.com  katika post yake aliweka Video ambayo ilionyesha kipindi kile Simba anaifunga Yanga goli 5 kwa Sifuri katika uwanja wa Uhuru na Kuandika

Asiyejua atokapo..hajui aendapo…huu ni ukumbusho mujarrab” ikukutoa povu naomba liwe la njano……ukitusi ni block tu…cm yangu.bando langu na vdole pia vyangu…. KHAMSA.FIVE.PANCH.SEBRO..ni tano🙇🙇👊

Katika post hiyo kama inavyoonekana hapo chini aliwaambia watakaomtusi Atawablock katika akaunti yake hiyo ya Instagram.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY