LIVE : MATOKEO YANGA VS MBEYA CITY VPL LEO 19 NOVEMBER...

LIVE : MATOKEO YANGA VS MBEYA CITY VPL LEO 19 NOVEMBER 2017 (19.11.2017)

0

Image result for YANGA VS MBEYA CITY 2017
MATOKEO YANGA VS MBEYA CITY  VPL LEO 19 NOVEMBER 2017 (19.11.2017)

Kuanzia saa 10 Kamili Kwataunit.com tutakuletea Matokeo ya Moja kwa Moja LIVE. Like Ukurasa wetu wa Facebook hapo chini.
Mechi Umeanza
Dakika ya 10
Yanga 0 – 0 Mbeya city
Dakika ya 19 Obrey Chirwa anaipatia Yanga bao la Kuongoza
Yanga 1 – 0 Mbeya City
Dakika ya 23 Emmanuel Martin anafunga goli la Pili kwa Yanga
Yanga 2 – 0 Mbeya City.
Kipyenga cha Mwamuzi Athuman Wazi kinapulizwa kuashiria kuwa ni Mapumziko
Yanga 2 – 0 Mbeya City
Ball Possession
Yanga 59% – 41% Mbeya City

Kipindi cha Pili
50′ Obrey Chirwa anaipatia Yanga goli la 3 baada ya Raphael Daud Kuangushwa kwenye penalty Box
Yanga 3 – 0 Mbeya City
Obrey chirwa anafunga goli la 4 baada ya kupokea assist ya Ibrahim Ajib
Dakika ya 60
Yanga 4 – 0 Mbeya City
Dakika ya 75
Yanga 4 – 0  Mbeya City
Dakika ya 80 Emmanuel Martin anaipatia Yanga goli la 5
Full Time
Yanga 5 – 0 Mbeya City
Kumbuka Kulike Ukurasa wetu hapo chini

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY