MATOKEO YANGA VS PRISONS LEO 25.11.2017

  0

  Image result for yanga vs prisons
  MATOKEO YANGA VS PRISONS LEO 25.11.2017

  Matokeo kati ya Yanga na Prisons Tutakuwa Tunakuwekea Live Updates kutoka Azam Complex kuanzia saa kumi kamili.
  Mechi umeanza
  Yanga 0 – 0 Prisons
  Dakika ya 8
  Yanga 0 – 0 Prisons
  Dakika ya 10 Mpepo anawatanguliza Prisons
  Yanga 0 – 1 Prisons
  Dakika ya 25
  Yanga 0 – 1 Prisons
  Lambart Sambiaka wa Prisons anapewa kadi nyekundu baada ya kumchezea Kiwiko mchezaji wa Yanga
  Dakika ya 40
  Yanga 0 – 0 Prisons
  Dakika ya 42 Yanga wanasawazisha kwa hao la Raphael Daud
  Yanga 1 – 1 Prisons
  Half time
  Yanga 1 – 1 Prisons
  Ball Possession
  Yanga 54% – 46% Prisons

  Kipindi cha Pili
  Mpira Unaendelea
  Cannavaro anampisha Yondani
  Dakika ya 46
  Yanga 1 – 1 Prisons
  chirwa anafunga goli linakataliwa na mwamuzi kwa madai ya Offside
  Dakika ya 60
  Yanga 1 – 1 Prisons
  FULL TIME
  Yanga 1 – 1 Prisons
  Kumbuka Kulike Ukurasa wetu hapo chini ili uwe wa Kwanza Kujulishwa kila wakati.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY