MAVUGO WA SIMBA DIRISHA DOGO ANAKWENDA KWA MABINGWA HAWA LIGI...

MAVUGO WA SIMBA DIRISHA DOGO ANAKWENDA KWA MABINGWA HAWA LIGI KUU

0

Image result for laudit mavugo
Mchezaji wa Kimataifa wa Simba ambaye ni raia wa Burundi Laudit Mavugo kuna tetesi za kuwa kuna mipango ya mchezaji huyo kutimkia kwa Mabingwa wa Ligi kuu ya Kenya Timu ya Gor Mahia K’Ogalo.

Licha ya mchezaji huyo kuwa Bado anamkataba na klabu yake ya Simba lakini inasemekana ameshafanya mazungumzo ya siri na K’Ogalo na wamekubaliana na kinachosubiriwa ni Gor Mahia kumalizana na Simba ili kuvunja mkataba na Simba na Kujiunga na Gor Mahia ambao ndiyo mabingwa wa Ligi Kuu na SportPesa Afrika Mashariki.

Mavugo  msomaji wa Kwataunit.com inadaiwa amekuwa hafurahishwi na kukosa namba katika kikosi cha Kwanza cha Simba toka msimu huu Uanze hali ambayo imemfanya iwe rahisi kwa yeye kutaka Kuondoka Simba na Kujiunga na Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Kenya Msimu huu Gor Mahia. Kwa tetesi za Usajili za Kila Siku Like UKurasa wetu wa Facebook hapo chini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY