MPYA : RATIBA VPL YABADILIKA YANGA NA SIMBA

MPYA : RATIBA VPL YABADILIKA YANGA NA SIMBA

0

MABADILIKO: Mechi kati ya Yanga vs Tanzania Prisons, na mechi kati ya Simba vs Lipuli FC zilizopangwa kuchezwa tarehe 25 na 26 mwezi huu, sasa zitapigwa katika uwanja wa Azam Complex Chamazi badala ya uwanja wa Uhuru kama ilivyokuwa imepanngwa awali.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY