MPYA : YANGA WATAJA WACHEZAJI WATAKAOKOSEKANA LEO DHIDI YA PRISONS

MPYA : YANGA WATAJA WACHEZAJI WATAKAOKOSEKANA LEO DHIDI YA PRISONS

0

Image result for DISMAS TEN
Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano klabu ya Yanga Dismas Ten amefunguka hali ya kikosi chao na wachezaji ambao watakosekana kwenye Mchezo kati ya Yanga na Tanzania Prisons waliosafiri kutoka jiji la Kijani Mbeya.

Dismas Ten ambaye ni moja kati ya Maafisa habari makini amesema Wachezaji wote wako fiti na mchezaji ambaye atakosekana ni Donald Ngoma Pekee.


Nimeongea na daktari wa wetu Dr Edward Bavy amenithibitishia kuwa wachezaji wote wako vizuri, Mchezaji pekee ambaye  tutamkosa katika mchezo wa leo ni Donald Ngoma.

Licha ya wachezaji wengi kupona lakini Kuna uwezekano wachezaji kama Kamusoko, Tshishimbi wakaendelea kukaa benchi kutokana na kukosa Match Fitness Na hii  msomaji wa Kwataunit.com ni  kutokana na kutoshiriki kwa kiasi kikubwa kwenye mazoezi ya wiki hii. Kupata taarifa zote kuelekea mchezo huu na mwingine Like Ukurasa wetu wa Facebook hapo chini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY