Mwenyekiti wa Kamati ya waamuzi amaliza UTATA goli la KICHUYA dhidi ya...

Mwenyekiti wa Kamati ya waamuzi amaliza UTATA goli la KICHUYA dhidi ya Mbeya City,Asema haya

0

Image result for goli la kichuya dhidi ya mbeya city

Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi Salum Umande Chama amefunguka kuhusiana na goli lililokuwa na Utata la Shiza Ramadhan Kichuya goli alilofunga kwenye mchezo kati ya Mbeya City na Simba mchezo wa Raundi ya tisa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Image result for SALUM CHAMA
Chama msomaji wa Kwataunit.com amesema Goli la Kichuya halikuwa Offside kama ambavyo wengi wanadai.

Mimi nilichokiona sikuona kama ni Offside nilichoona mimi wakati mpira unapigwa yule mchezaji wa Simba Kichuya  sijui nani alimove akawaacha wale walinzi wawili aliokuwa amesimama nao.

Chama aliongezea kwa Kusema.

Sheria ya Offside inaamuliwa wakati mpira Unapigwa mchezaji amesimama katika eneo lipi , akimove wakati mpira Uko hewani hiyo siyo Offside.

Hata Hivyo maamuzi bado hayajatoka ila ni wazi kuwa kauli ya boss huwa ni kauli nzito na Kauli Kuu hivyo wanaotegemea mwamuzi wa mchezo huo atachukuliwa hatua kwakuwa goli lilionekana kama Offside basi itakuwa hakuna tena kitu hiko. Kwa habari za Kila siku Kumbuka Kulike Ukurasa wetu wa Facebook hapo chini

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY