NDEMLA KUUNGANA NA THOMAS ULIMWENGU ULAYA

NDEMLA KUUNGANA NA THOMAS ULIMWENGU ULAYA

0

Image result for ndemla simba

Mchezaji wa Klabu ya Simba Said Ndemla amefuzu majaribio yake ya kucheza soka la Kulipwa katika klabu ya AFC Eskilstuna ya nchini Sweden mara baada ya majibu ya Majaribio yake kutoka.

NDEMLA  msomaji wa Kwataunit.com alikuwa Sweden kwa siku 14 kufanya majaribio hayo ambapo klabu yake ya Simba imesema ipo Tayari kumwachia Kiungo huyo kama ambavyo ilivokawaida yake kuwaachia wachezaji wanaofuzu ulaya.

Kupitia Ukurasa wa msemaji wa Klabu hiyo Haji Manara alipost  Ujumbe huu.

A post shared by Haji S Manara (@hajismanara) on Nov 25, 2017 at 7:22am PST

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY