TAARIFA MPYA NA MUHIMU KUTOKA CAF KUIHUSU TAIFA STARS

TAARIFA MPYA NA MUHIMU KUTOKA CAF KUIHUSU TAIFA STARS

0


Shirikisho la soka barani Afrika limesogeza Mbele tarehe ya mchezo kati ya Uganda na Tanzania wa kuwania kufuzu kombe la Africa 2019 kutoka mwezi March mwaka 2018 mpaka mwezi wa September kati ya tarehe 3 mpaka 11.

Tanzania Ipo katika kundi L Na Timu za Cape Verde, Lesotho, Uganda  na mpaka sasa Kila Timu imeshacheza mchezo mmoja huku Stars ikianza kwa sare ya Nyumbani na Lesotho.

Mchezo wa mwisho hatua ya Makundi kuwania kufuzu Michuano ya AFCON Itachezwa kati ya March 18 na 26 2019

CAF  msomaji wa kwataunit.com wamesogeza mbele Mchezo wa Uganda Na Tanzania Ili kuzipisha timu zilizofuzu kombe la Dunia kupata maandalizi ya kutosha kabla ya Kombe la Dunia 2018 Huko nchini Urusi. Kumbuka Kulike Ukurasa wetu wa Facebook hapo chini

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY