TANZANIA YASHUKA VIWANGO VYA FIFA,SOMA ZAIDI

TANZANIA YASHUKA VIWANGO VYA FIFA,SOMA ZAIDI

0

Tanzania imeshuka katika viwango vya FIFA kutoka nafasi ya 136 mpaka nafasi ya 142 licha ya Kutoa sare ya Ugenini dhidi ya Benin.

Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umekaaje?
Uganda wameendelea kuwa juu kwenye Ukanda huu msomaji wa Kwataunit.com mara baada ya Kuongoza wakiwa nafasi ya 74 nao wakishuka kutoka nafasi ya 71, Kenya ambao tupo nao Kundi Moja michuano ya CECAFA wapo nafasi ya 111, Rwanda wanafata wakiwa nafasi ya 120, Sudan nafasi ya 137, Burundi nafasi ya 138 na Tanzania ndiyo tunavuruta kwenye Ukanda wetu tukiwa nafasi ya 142.


Kumi Bora Afrika
1. Senegal 

2. Tunisia
 3. Egypt 
4. Congo DR 
5. Morocco 
6. Burkina Faso 
7. Cameroon 
8. Nigeria 
9. Ghana 
10. Ivory Coast

Kumi Bora Kidunia

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY