UKIMSIKIA ITAPENDEZA : MENEJA WA NDEMLA AZUNGUMZA MAENDELEO YA NDEMLA SWEEDEN

UKIMSIKIA ITAPENDEZA : MENEJA WA NDEMLA AZUNGUMZA MAENDELEO YA NDEMLA SWEEDEN

0

Image result for said ndemla simba
Meneja wa Said Ndemla, Jamal Kisongo amesema NDEMLA anaendelea vizuri katika majaribio yake na  Mwalimu wa AFC Eskilstuna ya Sweden ameonyesha kuvutiwa na soka la mchezaji huyo ambaye Yupo Sweeden kwa majaribio ya Siku 14

Said tumefanya nae mawasiliano jana na kwa sasa wanakwenda mwisho na anafanya vizuri na kwa mazoezi yeye mwenyewe anatia imani ya kufanya vizuri, hata mwenzangu yule wa Sweden amezungumza na mwalimu na kusema amefurahishwa na Ndemla na siku ya Jumamosi anaweza kuwa na mchezo wa kirafiki

Image result for said ndemla sweden
Kwahiyo Msomaji wa Kwataunit.com kikubwa ambacho kinasubiriwa ni huo mchezo wa kirafiki kisha Mwalimu anaweza akaamua kama watamsajili ama wataachana naye ila Taarifa ni kama hiyo kuwa anafanya vizuri na anaonekana kuwavutia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY