USAJILI : HABARI NJEMA KUTOKA YANGA LEO HII HAPA

USAJILI : HABARI NJEMA KUTOKA YANGA LEO HII HAPA

0

Image result for Kagera sugar vs Yanga 2 - 1

Mara baada ya Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Obrey Chirwa kuonyesha uwezo Mkubwa msimu Huu kiasi cha Kuwafanya mashabiki kumuona kama Mfalme katika safu ya Ushambuliaji Ya Klabu ya Yanga Kuna taarifa zinasema kuwa Uongozi wa Klabu ya Yanga upo katika Mipango ya Kuongeza mkataba na Chirwa kabla hata ya Mkataba huo haujaisha.

Imekuwa ni kawaiada ya Klabu nyingi za Tanzania kusubiri mpaka mkataba wa mchezaji Ukaribie kuisha au Uishe ndipo waanze mazungumzo hali ambayo imekuwa ikifanya wachezaji wengine kuondoka Burebure bila klabu kupata chochote  wakiwa kwenye viwango bora kabisa
Image result for obrey chirwa
Uongozi wa Yanga kuona hilo wanapanga wamalize show mapema sana kwa Kumuongezea Obrey Chirwa mkataba, Msomaji wa Kwataunit.com Chirwa amebakiza miezi kadhaa amalizane na Yanga Mkataba wake Uishe, Chirwa mkataba wake Unamalizika mwezi wasaba mwakani.

Moja ya faida ya kuongeza  mkataba mapema inasaidia kujihakikishia mchezaji kuwa mali yako lakini hata timu yenye dau kubwa inapomwitaji inakuwa rahisi KLABU kupata pesa kutokana na mchezaji kuwa na Mkataba. Kumbuka Kulike Ukurasa wetu wa Facebook upate habari kwa haraka.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY