Huyu ndiye mchezaji wa Simba Gumzo zaidi huko Misri mazoezini anauliziwa yeye Tu

  0

  Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

  Huyu ndiye mchezaji wa Simba Gumzo zaidi huko Misri mazoezini anauliziwa yeye Tu

  Kuelekea pambano kati ya Al Masry dhidi ya Simba katika mchezo wa leo Jumamosi katika uwanja wa Port Said tayari kunawachezaji washaanza kuwa gumzo katika mji wa Port Said huko Misri.

  Wakati wa mazoezi ya Simba wakiwa huko Port Said msomaji wa Kwataunit.com  jina la Mchezaji John Bocco ndilo lililokuwa likiuliziwa zaidi wakati wa mazoezi washabiki wakitaka kumuona John Bocco huku wao wakilitamka jina la Bocco kama “John Boccu”

  Bocco katika mchezo huo ndiye aliyefunga bao la kwanza la mchezo huo akiwa kama nahodha pia katika mchezo huo. Je leo Bocco atawaweka tena waarabu Tukutane saa mbili na Nusu Tutakupa Matokeo Live Kupitia Site Hii.

  Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY