Muda wa mechi kwa saa za Tanzania Al Masry vs Simba

  0

   muda wa mechi kwa saa za Tanzania Al Masry vs Simba

  Kuelekea pambano la Kombe la shirikisho barani Afrika kati ya All Masry na Simba huko katika uwanja wa Port Said klabu ya Simba kwasasa IPO katika maandalizi makali kuwawinda waarabu hao ambao katika mchezo wa Nyumbani Simba ikibanwa kwa sare ya bao 2 kwa 2.

  Mipango ya safari

  Klabu ya Simba utaondoka Siku ya Jumatano kuelekea Misri tayari kabisa kwa mchezo huo huku ikielezwa na watu wa karibu kabisa kutoka simba kuwa tayari Simba wameshatuma watu wa kwenda kuandaa mazingira ili kuepuka Hujuma za nje ya uwanja.

  Siku na muda wa mechi.

  Mechi hiyo msomaji wa kwataunit.com  Itachezwa March 17 na mchezo huo ambao ni muhimu kwa timu zote ili kufuzu hatua inayofuata itaanza majira  ya SAA mbili na Nusu usiku

   

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY