Matokeo Yote Ligi Kuu VPL 12 April 2018

Matokeo Yote Ligi Kuu VPL 12 April 2018

0

Matokeo Yote Ligi Kuu VPL 12 April 2018

Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara Vodacom Premier League Imeendelea leo kwa Michezo miwili badala ya Mitatu kupigwa.

>> Soma habari za Michezo hapa <<

Mechi moja kati ya Ruvu na Azam Fc imeahirishwa mpaka kesho kutokana na Mvua Kubwa kunyesha uwanjani kiasi cha Mchezo kushindwa Kuchezwa.

Katika Mchezo mwingine Simba Imefanikiwa Kushinda Jumla ya Bao 3 kwa 1 mabao yakifungwa na Okwi, Asante Kwasi na Bocco huku goli la Mbeya City likifungwa na Frank Ikobela.

Katika Mchezo mwingine msomaji wa Kwataunit.com Mtibwa walikuwa wenyeji wa Ndanda Fc kutoka Mtwara na Mtibwa wamefanikiwa kuondoka na points zote 3 mara baada ya ushindi wa bao 1 kwa 0.

Bao la Mtibwa limefungwa na Kelvin Sabato maarufu kama kiduku katika dakika ya 22 ya Mchezo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY