Matokeo Zambia vs Twiga Stars leo 8 April 2018

Matokeo Zambia vs Twiga Stars leo 8 April 2018

0

Matokeo Zambia vs Twiga Stars leo 8 April 2018

Dakika ya 15 Zambia wanapata bao la Kuongoza, Goli Likifungwa na Racheal Kundananji  Matokeo Ya Jumla yanakuwa

Zambia 4 – 3 Twiga Stars

Dakika ya 30 bado Zambia 1 – 0 Twiga Stars

HALF TIME

Zambia 1 – 0 Twiga Stars

Dakika ya 50

Zambia 1 – 0 Twiga Stars

Dakika ya 70

Zambia 1 – 0 Twiga Stars

Dakika ya 72 Twiga Stars inasawazisha kupitia kwa Mwanahamis Omari

Zambia 1 – 1 Twiga Stars

FULL TIME

Zambia 1 – 1 Twiga Stars, Matokeo ya Jumla (4 – 4 ) . Twiga Stars wanatoka kikanuni ya Goli la Ugenini.

LIKE UKURASA WETU KWA KUBONYEZA >> HAPA <<

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY