Mechi 3 za Ligi Kuu VPL kuchezwa leo

Mechi 3 za Ligi Kuu VPL kuchezwa leo

0

Mechi 3 za Ligi Kuu VPL kuchezwa leo

Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara Maarufu zaidi Kama Vodacom Premier League inaendelea leo kwa Michezo mitatu kuchezwa katika Miji ya Mikoa Mitatu leo.

>> SOMA HABARI ZA MICHEZO HAPA <<

Mechi Ya Mapema zaidi

Mechi ya Mapema leo Itakuwa ni kati ya Ruvu Shooting watakaokuwa wenyeji wa Azam Fc katika dimba la Mabatini mechi Ikianza Saa nane kamili mchana.

2:00 PM

Mabatini Stadium
Ruvu Shooting FC Azam FC
04:00 PM

Manungu Complex
Mtibwa Sugar FC Ndanda FC
04:00 PM

Uwanja wa Taifa
Simba SC Mbeya City FC

Mechi Nyingine zitakuwa majira ya Saa Kumi Kamili kati ya Simba watakaoikaribisha Mbeya City na Mtibwa Watakuwa wenyeji wa ndanda pale Manungu Complex.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY