Papy Kambale wa Singida ataja wachezaji waliocheza Vizuri zaidi Yanga

Papy Kambale wa Singida ataja wachezaji waliocheza Vizuri zaidi Yanga

0

Papy Kambale wa Singida ataja wachezaji waliocheza Vizuri zaidi Yanga

Unaweza ukawa unacheza timu yako lakini uwezo wa wachezaji wa timu pinzani nao ukakuvutia na ukashindwa kuficha kabisa Hisia zako juu ya uwezo wa wapinzani wako.

Starika Mkongo ambaye ndiye aliyeanza kwa Kuwaduwaza Yanga kwa Kuwafunga Goli la mapema zaidi katika mchezo wa Jana Papy Kambale amefunguka juu ya Uwezo wa wachezaji wa Yanga huku akiwataja Ibrahim Ajibu na Papy tshishimbi

>> Soma habari za michezo hapa <<

Akizungumza  baada ya Mchezo huo Kambale ambaye anakinyoosha Kiswahili Vizuri  msomaji wa Kwataunit straika huyo alisema

“Mchezaji ambaye amecheza vizuri na kunivutia ni ndugu yangu Papy Tshishimbi na Ajib, wamecheza vizuri nimefurahia sana”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY