Alichokisema Kichuya kuhusu Usajili wake Msimu ujao

Alichokisema Kichuya kuhusu Usajili wake Msimu ujao

0

Alichokisema Kichuya kuhusu Usajili wake Msimu ujao

Winga machachari wa Klabu ya Simba Shiza Kichuya mkataba wake upo ukingoni na Mwishoni mwa Msimu Huu atakuwa mchezaji Huru.

Kichuya amekuwa akihusishwa na usajili wa Timu nyingi ndani na Nje ya Nchi, Tanzania zikitajwa Yanga na Azam Fc huku Simba pia wakiwa bado wanamwitaji mchezaji huyo aliyejiunga Simba Akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro.

Hata hivyo Shiza Kichuya Mwenyewe amefunguka na Kusema kwasasa anaangalia  mwenye dau kubwa  lakini pia Timu yenyewe kama Inashiriki michuano ya Kimataifa.

“Siwezi kwenda sehemu ambayo nitacheza mechi za Ligi Kuu, bora niendelee kubaki Simba, hivyo kwanza maslahi yangu lakini pia nataka kucheza timu inayoshiriki michuano mikubwa, kwa ujumla siwezi kukurupuka hivihivi,”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY