Alikuwa Lazima atue Simba Tu siyo kwa Mi Ofa Hii

Alikuwa Lazima atue Simba Tu siyo kwa Mi Ofa Hii

0

Alikuwa Lazima atue Simba Tu siyo kwa Mi Ofa Hii

Wakati Simba ikiwa imemaliza kabisa ndoto za Yanga na Azam Fc kumnasa Adam Salamba kwa kumsainisha mkataba wa awali wa Miaka 2.

Inaelezwa kuwa mchezaji huyo amekubali kutia wino Simba mara baada ya kusainiwa kwa mkataba wenye thamani ya Milioni 40 huku akipewa gari ya Kutembelea AINA ya Toyota Crown ambayo thamani yake yake inatajwa kuwa kati ya Milioni 13 mpaka 16

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY