Aliyetajwa kutua Yanga asaini Azam Fc

Aliyetajwa kutua Yanga asaini Azam Fc

0

Aliyetajwa kutua Yanga asaini Azam Fc

Tetesi na usajili wa awali umeendelea kutikisa hasa kwa Vilabu vikubwa Nchini kama Simba, Yanga na Azam Fc,Taarifa za kuaminika ambazo kwataunit imezipata asubuhi ya leo Azam wamemalizana na moja ya nyota wa Singida United.

Hizi hapa tetesi za usajili klabu ya yanga leo Alhamis 31 May 2018

Azam Fc inaelezwa wamemalizana na Nyota wa Singida aliyekuwa akitajwa kuwa kwenye rada za Yanga Tafadzwa Kutinyu raia wa Zimbabwe.

Hizi hapa Tetesi za usajili klabu ya Yanga Jana 30 May 2018

Taarifa zaidi zinadai kuwa Azam Fc inaenda kumtangaza mchezaji huyo siku ya Leo pamoja na wachezaji wengine ambao tayari washamalizana nao.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY