Ammy Ninje afunguka sababu za Kutompanga KABWILI

Ammy Ninje afunguka sababu za Kutompanga KABWILI

0

Ammy Ninje afunguka sababu za Kutompanga KABWILI

Unakumbuka kocha wa Ngorongoro Heroes alimtema Kabwili kutokana tu na Yanga kumwitaji safari ya Algeria wakati huo huo yeye naye akimwitaji kambini licha ya Kuwa bado mechi ilkuwa mbali.

Baadae Rais wa TFF Wallace Karia aliingilia kati na kusaidia Ramadhan Kabwili kurudishwa timu ya Ngorongoro Heroes.

Baada ya Kichapo cha Bao 2 kwa 1 Wakicheza Nyumbani Ngorongoro Heroes dhidi ya Mali Ammy Ninje alifunguka sababu za Kutompanga Ramadhan Kabwili.

” Kwenye timu unaangalia wachezaji mazoezini Abuu Twalib amefanya vizuri sana mazoezini, Hiko ndicho kimenifanya nimpe nafasi ya Kucheza, Kafanya makosa sawa tutaangalia ili tujue namna gani tutamrekebisha ndiyo mpira Uko hivyo “

alimaliza Ninje.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY