Azam Fc kupandisha au Kushusha presha za washabiki wa Yanga Kesho

Azam Fc kupandisha au Kushusha presha za washabiki wa Yanga Kesho

0

Azam Fc kupandisha au Kushusha presha za washabiki wa Yanga Kesho

Huku kukiwa na Habari kuwa Klabu ya Azam Fc imeshamalizana na beki wa Kulia wa Mabingwa wa Kihistoria klabu ya Yanga, Juma Abdul leo wametangaza Jambo.

Afisa Habari wa Timu ya Azam Fc Jaffar Iddi Maganga amefunguka kuwa kesho atakuwa na Kikao na waandishi wa Habari kutaja baadhi ya wachezaji ambao wamewasajili.

Kwa siku hiyo ya Kesho kama jina la Juma Abdul litatajwa kusajiliwa Azam Fc basi huenda ikazidi kupandisha Pressure za washabiki wa Yanga kutokana na baadhi ya wachezaji wao kutajwa Kuondoka Yanga.

Lakini msomaji wa Kwataunit kama Juma Abdul hatatajwa na Azam Fc basi huenda washabiki wa Yanga Pressure zao zikashuka kiasi kutokana na uwezo wa mchezaji Juma Abdul aliyejiunga mwaka 2012 akitokea Mtibwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY