Beki kisiki wa Stand United Ali Ali amemtaja mchezaji wake bora wa...

Beki kisiki wa Stand United Ali Ali amemtaja mchezaji wake bora wa msimu VPL

0

Beki kisiki wa Stand United Ali Ali amemtaja mchezaji wake bora wa msimu VPL

Ukizungumza mabeki ambao wamekuwa Visiki na makatili kwa kwa washambuliaji wengi basi jina la Ali Ali wa Stand United nalo unaweza ukalitaja kama umekuwa Ukifatilia kwa Ukaribu mechi za Stand United.

Beki huyo amemtaja mchezaji ambaye kwake anaona ndiye mchezaji bora wa msimu Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom premier League.

Ali Ali aliyejiunga na Stand United akitokea Gulioni ya Zanzibar amemtaja Mshambuliaji wa Simba John Bocco kama mchezaji bora wa Msimu huku akitaja sababu zake 3.

Sababu ambazo amezitaja Ali Ali ni Kujituma uwanjani kwa John Bocco, Na Nidhamu yake anapokuwa ndani ya uwanja.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY