Dismas Ten agusia kifaa Kipya Kilichotua muda si mrefu Yanga

Dismas Ten agusia kifaa Kipya Kilichotua muda si mrefu Yanga

0

Dismas Ten agusia kifaa Kipya Kilichotua muda si mrefu Yanga

Yanga wameamua kuendelea na Style yao ya Kimya Kimya mara baada ya Kuona wanapigwa Overtake na WAPINZANI wao Simba kila wanapoonyesha Kumwitaji mchezaji Fulani.

Ilianza kwa Adam Salamba na Hata kwa Marcel Bonaventure Kaheza ambaye wote waliwahi Kutajwa Yanga lakini Simba waliposikia wakaingia Kutibua.

Afisa habari wa Timu Yanga Dismas Ten msomaji wa Kwataunit amegusia Kidogo Tu kwa kupost Picha ambaye amefichwa sura yake na Kisha kuandika Ujumbe ” Pole kwa safari Karibu Dar Es Salaam” na Kisha kuandika ” M11 ”

Pole kwa safari, Karibu Dar es Salaam “M11”.

Ujumbe huu wa Dismas Ten ni wazi mchezaji huyu atakuwa amesafiri kama si kutoka Mkoani basi ni Nje ya Nchi. Kwataunit.com Tunaendelea kufatilia ili kujua mchezaji huyo ni nani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY