Haji Manara amemtaja kocha wake Bora msimu Huu wa Ligi

Haji Manara amemtaja kocha wake Bora msimu Huu wa Ligi

0

Haji Manara amemtaja kocha wake Bora msimu Huu wa Ligi

Afisa habari wa Mabingwa wapya wa Soka Nchini Simba, Haji Manara amemtaja kocha ambaye kwa upande wake amekuwa Kocha bora zaidi msimu Huu.

Haji Manara akiongea leo EFM alipokuwa amepata Mwaliko kwenye Kipindi cha Sports Headquarters amemtaja kocha wa Singida United Hans Van Pluijm kama kocha anayestahili kuwa kocha Bora wa Msimu.

Manara msomaji wa Kwataunit amesema Hans akiwa kocha wa Singida United ameleta Changamoto kubwa kiasi cha Kuifikisha Singida United fainali ya Kombe La Shirikisho.

Lakini amesema Utashangaa ataletewa Figisu kwakuwa amewahi kuwa kocha bora akiwa Yanga ila kwa Haji anaona wazi ndiye anayestahili kuwa Kocha bora wa Msimu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY