Haji Manara amemtaja mchezaji bora wa Simba Muda wote

Haji Manara amemtaja mchezaji bora wa Simba Muda wote

0

Haji Manara amemtaja mchezaji bora wa Simba Muda wote

Afisa habari wa timu ya Simba amejikuta akimtaja na Kuandika wasifu wa Mchezaji ambaye anaamini ndiye mchezaji bora wa Simba wa Muda Wote.

Tetesi za Usajili Simba 25 May 2018

Ujumbe huo wa Manara umemtaja King Kibaden kama mchezaji bora wa Simba Muda Wote, Soma Ujumbe wote wa Manara hapo chini huku akitumia Ujumbe huo kama Kijembe kwa wanaopinga Mabadiliko Simba.

Abdallah king kibadeni Mputa ndiye mchezaji bora wa muda wote Simba..na pia ndiyo kocha bora wa muda wote Simba…kwa vigezo vyovyote vile hakuna anaemgusa..ameshinda ubingwa wa ligi kuu mara nne kama mchezaji na kocha mara nne..amekuwa mwanadamu wa kwanza kushinda taji la cecafa kama mchezaji 1974 na kama kocha wa Simba 1991.amefika nusu fainali ya klabu bingwa Africa akiwa mchezaji 1974 na kuifikisha fainali ya kombe la CAF 1993…huyu ni king halisi uwanjani na kwenye benchi..bila kusahau ndiyo mwanadamu pekee kufunga hat-trick kwenye derby ya Yanga na Simba….anaunga mkono 100% transformation…na alikuwepo kwenye Mkutano Mkuu wa May 20…huyu ni gwiji asiyepingika halaf mswahili mmoja atuletee za kuleta!! THUBUTUUUU

A post shared by Haji S. Manara (@hajismanara) on

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY