Haji Manara Aponda gari la Yanga na kutaka mechi ya Kirafiki nao...

Haji Manara Aponda gari la Yanga na kutaka mechi ya Kirafiki nao ila kwa Sharti hili

0

Haji Manara Aponda gari la Yanga na kutaka mechi ya Kirafiki nao ila kwa Sharti hili

Afisa habari wa Mabingwa wa Soka Nchini Klabu ya Simba Haji Manara ameponda Gari la Yanga mara baada ya Kupost Picha gari hilo likiwa limesimamishwa na Traffics akisema hafikirii kama hata Gari Hilo limelipiwa Kodi.

Kisha akaandika kuwa anaongea na Viongozi wa Simba angalau wacheze mechi ya Kirafiki na Yanga kisha mapato wachukue Yanga ila kwa Sharti la Yanga kusema Shikamoo Simba.

Angalia Post yake hapo chini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY