Hawa ndiyo wapya wachezaji waliosaini Simba mpaka sasa

Hawa ndiyo wapya wachezaji waliosaini Simba mpaka sasa

0

Hawa ndiyo wapya wachezaji waliosaini Simba mpaka sasa

Wakati Ligi Ikiwa imehitimishwa siku ya jana na Kushuhudia Simba ,Azam na Yanga zikiwa nafasi za Tatu za Juu na Njombe Mji pamoja na Maji maji zikishuka daraja tetesi na sajili za awali zimeendelea kama kawaida.

Mchezaji bora wa Simba wa Muda wote 

Wakati mambo mengine yakiendelea msomaji wa Kwataunit  klabu ya Simba imeweza Kukamilisha Usajili wa awali na wachezaji wawili mmoja mtoto wa nyumbani na mwingine aliyekuwa Gumzo zaidi siku za karibuni.

Wachezaji hao ni Marcel Bonaventure Kaheza aliyekuwa akicheza Maji Maji na Mkataba wake umemalizika baada ya msimu na mchezaji Adam Salamba kutoka Lipuli Fc.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY