Kauli ya Adam Salamba baada ya kusikia Yanga na Azam Kumwitaji

Kauli ya Adam Salamba baada ya kusikia Yanga na Azam Kumwitaji

0

Kauli ya Adam Salamba baada ya kusikia Yanga na Azam Kumwitaji

Mara baada uwepo wa Taarifa zinazohusisha Mchezaji wa zamani wa Stand United ambaye kwasasa anacheza Lipuli Fc kutakiwa na Klabu ya Yanga na Azam Fc Salamba mwenyewe ameibuka na kufunguka Yake

 

” Mpaka sasahivi mimi ni mchezaji wa Lipuli na bado nina mkataba na Lipuli kwahiyo timu yoyote itakayofuata utaratibu na kukubaliana na Lipuli mimi niko tayari kucheza timu yoyote sababu mimi ni mchezaji na maisha yangu mimi ni Mpira “

MKATABA WAKE UMEBAKI WA MUDA GANI ?

Adam Salamba Msomaji wa Kwataunit amesema Pia mkataba wake na Lipuli umebakiza Miezi 6 amalizane nao.

Habari za Michezo <

Uongozi wa Lipuli wenyewe umenukuliwa na kwenye baadhi ya Vyombo vya habari ukisema umeshaijibu Yanga na wameiambia Yanga Kupeleka Ofa yao ili wapime na Ofa ya Azam Fc kama ofa Itakuwa nzuri watamwachia lakini Kinyume na hapo wataendelea kumtumia Salamba kama mchezaji wao.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY