Kikosi cha Simba kilichoenda Kenya Leo Sportpesa Super Cup

Kikosi cha Simba kilichoenda Kenya Leo Sportpesa Super Cup

0

Kikosi cha Simba kilichoenda Kenya Leo Sportpesa Super Cup

Kikosi cha wachezaji 18 Simba Kimeondoka leo kuelekea Nchini Kenya kwaajili ya Michuano ya Sportpesa “Sportpesa Super Cup ” Inayoanza June 3 huko Kenya.

Simba Imeondoka bila ya wachezaji wake kadhaa kama wale tokea Ghana na baadhi kama John Bocco lakini inataarifiwa Kuwa Adam Salamba na Emmanuel Okwi wataungana na Kikosi baadae huko Kenya.

1. Aishi Manula
2. Said Mohamed
3. Ally Salim
4. Ally Shomary 
5. Paul Bukaba 
6. Erasto Nyoni
7. Yusufu Mlipili
8. Mohamed Hussein
9. Jonas Mkude
10. Shomari Kapombe
11. Mzamiru Yassin
12. Marcel Kaheza 
13. Moses Kitandu 
14. Rashid Juma
15. Said Hamis Ndemla
16. Haruna Niyonzima
17. Shiza Kichuya
18. Mohamed Ibrahim

 

Bechi la Ufundi
19. Pierre Lechantre 
20. Masoud Djuma
21. Mohamed Aimen
22. Muharam Mohamed
23. Richard Robert
24. Yassin Gembe
25. Hamisi Mtambo

Viongozi
26. Said Tulliy
27. Hamis Kisiwa
30. Haji Manara

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY