Kikosi cha Yanga Kinachokwenda Kenya Sportpesa Super Cup

Kikosi cha Yanga Kinachokwenda Kenya Sportpesa Super Cup

0

Kikosi cha Yanga Kinachokwenda Kenya Sportpesa Super Cup

Kikosi cha Wachezaji 20 Kitaondoka Leo majira ya Jioni kuelekea Kenya kwaajili ya Michuano ya Sportpesa Super Cup, Sportpesa Super Cup ni mashindano yanayoandaliwa na Sport Pesa na Mshindi ataenda Nchini Uingereza kucheza na Everton.

Youthe Rostand Jehu, Ramadhan Kabwili, Hassan Ramadhan Kessy, Buruan Yahaya Akilimali, Mwinyi Haji Ngwali, Pius Charles Buswita, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, Pato Ngonyani, Ibrahim Ajib Migomba na Maka Edward.

La Tshishimbi kwenda Simba bado lina Utata

Wengine waliojumuishwa Kikosini  ni Yohana Mkomola, Thabani Scara Kamusoko, Matheo Anthony, Amissi Tambwe, Juma Hassan Mahadhi, Said Juma Makapu, Said Mussa Bakari, Papy Kabamba ‘Tshishimbi’, Yussuf Mhilu na Raphael Daudi Loth.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY