Kocha Zahera hajaridhishwa na Kiwango cha Mchezaji Huyu Yanga adai lazima apate...

Kocha Zahera hajaridhishwa na Kiwango cha Mchezaji Huyu Yanga adai lazima apate mbadala

0

Kocha Zahera hajaridhishwa na Kiwango cha Mchezaji Huyu Yanga adai lazima apate mbadala

Wakati wanaYanga roho zao zikiwa zimetulia kiasi mara baada ya Uongozi kuwathibitishia kuwa Kocha wao Mpya Mwinyi Zahera amesaini mkataba wa Miaka 2.

Zahera kwasasa ameenda kwao nchini Congo kwenye majukumu ya Timu ya Taifa kwani kabla ya Kuja Tanzania alikuwa Kocha msaidizi wa Timu ya Taifa ya Congo lakini jana Kupitia Gazeti la Dimba waliandika Jambo kuhusu Kocha Huyo Kutafuta Mbadala wa Kipa Yanga.

Kwa mujibu wa Dimba Zahera halidhishwi na Kiwango cha kipa namba moja wa Yanga Youthe Rostand KUTOKANA na kufungwa mabao mepesi, kwahiyo kwenda  kwake Congo kwaajili ya Timu ya Taifa ameenda pia kutafuta Mrithi wa Youthe Rostand.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY