Kumbe Salamba kashapelekewa Ofa na Klabu hii Ligi Kuu ukiacha Yanga

Kumbe Salamba kashapelekewa Ofa na Klabu hii Ligi Kuu ukiacha Yanga

0

Kumbe Salamba kashapelekewa Ofa na Klabu hii Ligi Kuu ukiacha Yanga

Ukiacha Yanga ambao wamemwigia Adam Salamba kwaajili ya kuwasaidia kwenye Michuano ya Kimataifa (Kombe la shirikisho barani Afrika) hatua ya Makundi kumbe kuna wababe wengine VPL wanamtaka mchezaji huyo ambaye amekuwa Gumzo siku za Karibuni.

Ukiachana na Yanga basi unaambiwa timu ya Azam Fc nao tayari wameshatinga mpaka Iringa na Kupeleka maombi yao kwaajili ya KUMSAJILI Adam Salamba kwaajili ya Msimu Ujao wa Ligi Kuu VPL.

Taarifa za Uhakika kutoka kwa Mwenyekiti wa Lipuli Fc Ramadhan Mahano zinasema Tayari Azam wamepeleka Ombi lao la Kumwitaji Salamba kwaajili ya Msimu Ujao.

Hivyo kama Yanga watahitaji Kumsajili Salamba moja kwa Moja itabidi ifanye kazi ya ziada ya Kupambana na Azam Fc ipatikane timu yenye ofa nzuri zaidi kati yao

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY