Matokeo Ligi Kuu VPL 12 May 2018

Matokeo Ligi Kuu VPL 12 May 2018

0

Matokeo Ligi Kuu VPL 12 May 2018

Singida United imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa Nyumbani mara baada ya Kufungwa bao 1 kwa 0 bao likifungwa na Shomari kapombe.

Nao Kagera Sugar wamezidi kuzamisha jahazi la Njombe Mji mara baada ya Kuwachapa ba0 3 kwa 1

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY