Matokeo Ligi Kuu VPL 16 May 2018

Matokeo Ligi Kuu VPL 16 May 2018

0

Matokeo Ligi Kuu VPL 16 May 2018

Timu ya Mtibwa Sugar imekubali kichapo cha bao 2 kwa 1 ikicheza Nyumbani dhidi ya Lipuli fc kutoka Iringa.

Mabao ya wageni Lipuli yamefungwa na Abdallah Seiph Karihe, Huku bao la Mtibwa Likifungwa na Riphat Hamis.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY