Matokeo Ligi Kuu VPL Jumatatu 14 May 2018

Matokeo Ligi Kuu VPL Jumatatu 14 May 2018

0

Matokeo Ligi Kuu VPL Jumatatu 14 May 2018

Leo 14 May Ligi Kuu Iliendelea kwa mchezo mmoja kati ya Ruvu Shooting na Stand United, Ruvu wakiwa wenyeji katika uwanja wa Mabatini.

Mechi hiyo Imemalizika kwa Ruvu Shooting kushinda kwa bao 1 kwa 0 bao likifungwa na Rajab Zahir dakika ya 72.

Hata hivyo Ruvu Shooting na Stand United timu zote hazipo katika hatari ya kushuka daraja bali ilikuwa ni mechi ya Kuvimbiana Misuli tu na Kulipa kisasi.

Ruvu Wakikumbuka waliwahi kushishwa daraja na Stand United lakini pia wakikumbuka round ya kwanza wakifungwa bao 1 kwa 0.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY