Matokeo Maji Maji vs Simba leo 28 May 2018

Matokeo Maji Maji vs Simba leo 28 May 2018

0

Matokeo Maji Maji vs Simba leo 28 May 2018

Haya ni matokeo Kati ya Maji maji ambao wapo Nyumbani uwanja wa Maji Maji kucheza dhidi ya Mabingwa wa Msimu Huu 2017/2018 Klabu Ya Simba ambayo leo Inacheza na wachezaji wengi wa Kikosi cha Pili.

Dakika ya 3

Maji Maji 0 – 0 Simba

Goaaaaaal Dakika ya 6 Marcel Boniventure anaipatia Maji maji bao la Kuongoza

Dakika ya 7

Maji maji 1 – 0 Simba

Dakika ya 18

Maji maji 1 – 0 Simba

Dakika ya 44 Simba Simba wanapata Penati.

Penati Inapigwa na Haruna Niyonzima.

Goaaaaaal Maji 1 – 1 Simba

HALF TIME

Maji Maji 1 – 1 Simba

Dakika ya 60

Maji maji 1 – 1 Simba

FULL TIME

Maji Maji 1 – 1 Simba (6′ Marcel Bonaventure, 45′ Niyonzima)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY