Matokeo Ndanda vs Stand United 28 May 2018

Matokeo Ndanda vs Stand United 28 May 2018

0

Matokeo Ndanda vs Stand United 28 May 2018

Matokeo Ligi Kuu soka Tanzania Bara 28 may 2018 kati ya Ndanda wanaopambana kujinasua Kutoshuka daraja dhidi ya Stand United waliosafiri kutoka Shinyanga mpaka Mtwara.

Dakika ya 10

Ndanda 2 – 0 Stand United

Dakika ya 18

Ndanda 2 – 0 Stand United

Ni dakika ya 28 Katika mchezo kati ya Ndanda dhidi ya Stand United katika uwanja wa Nangwanda Sijaona, Matokeo Yakiwa Ndanda 2 na 0 kwa Stand United

Mabao ya Ndanda yamefungwa na Nassor Kapama na bao jingine Likifungwa na Jacob Massawe

HALF TIME

Ndanda 2 – 0 Stand United

DAKIKA YA 60

Ndanda 2 – 1 Stand United

Dakika ya 63 Jacob Massawe anaongeza bao upande wa Maji Maji, Ndanda 3 – 1 Stand United

DAKIKA YA 70

Ndanda 3 – 1 Stand United

FULL TIME

Ndanda 3 – 1 Stand United

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY