Matokeo Stand United vs Mbao Fc 18 May 2018

Matokeo Stand United vs Mbao Fc 18 May 2018

0

Matokeo Stand United vs Mbao Fc 18 May 2018

Matokeo Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Stand United vs Mbao Fc  katika uwanja wa CCM Kambarage Mkoani Shinyanga, Kumbuka mbao anatafuta Points 3 Tu asalie Ligi Kuu wakati Stand United anacheza Kutafuta Heshima mbele ya Washabiki wake

Kuanzia SAA kumi kamili kwataunit.com Tutakuletea Matokeo ya Moja kwa Moja

Timu zinaingia uwanjani, Zikiongozwa na Mwamuzi Shomari Lawi kutoka Mwanga Kigoma

Mechi Imeanza katika uwanja wa CCM Kambarage

Stand United 0 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 4 Sadala Mohammed anapata nafasi upande wa Mbao anashindwa Kuipatia timu yake Bao, kona kwa Mbao.

Dakika ya 4 Inapigwa Kona, Stand Wanaokoa.

Dakika ya 5

Stand United 0 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 7 Bigirimana Blaise anajaribu Shuti nje ya Kumi na nane mpira Unatoka.

Dakika ya 18 wakati Sadala Mohammed akielekea Kumuona Kipa wa Stand United, Ali Ali anamweka Chini Refarii Shomari Lawi anasema Kuwa Ni Penati, Na Ali Ali anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 9 Yusuph Ndikumana anafunga Penati kwa Mbao Fc

Stand United 0 – 1 Mbao Fc (9′ Yusuph Ndikumana)

> Soma habari za Michezo hapa <

Dakika ya 10 Sadala Mohammed anapewa kadi ya Njano baada ya Kuingia uwanjani Bila Ruhusa

Dakika 15

Stand United 0 – 1 Mbao Fc (9′ Yusuph Ndikumana)

Dakika ya 20 Mbao Fc wanapata Kona lakini inakosa madhara kwa Stand United, Bado mbao anaongoza kwa bao 1.

Dakika ya 24 Ismail Ally wa Mbao Fc anajaribu shuti la Mbali, Kipa wa Stand United Makaka anatoa inakuwa Kona

Dakika 25

Stand United 0 – 1 Mbao Fc (9′ Yusuph Ndikumana)

Aron Lulambo wa Stand United anapewa kadi ya Njano kwa mchezo usio wa Kiungwana

Dakika 30

Stand United 0 – 1 Mbao Fc (9′ Yusuph Ndikumana)

Dakika ya 40 Bado ni 0 kwa Stand United na 1 Kwa Mbao Fc

HALF TIME

Stand United 0 – 1 Mbao Fc (9′ Yusuph Ndikumana – Pen)

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 45 Sixtus Sabilo anajaribu shuti kali langoni mwa Mnbao Fc mpira Unagonga mwamba wa Juu unarudi uwanjani

Dakika ya 50 Stand United Wameanza kipindi cha Pili kwa Kushambulia kwa Nguvu langoni mwa Mbao Fc, Lakini bado Mbao anaongoza kwa bao 1 kwa 0

Dakika ya 52 Piga Nikupige langoni mwa Stand almanusra iipatie Mbao Fc bao la Pili.

Dakika ya 60

Stand United 0 – 1 Mbao Fc (9′ Yusuph Ndikumana – Pen)

Dakika ya 73 Kasanga wa wa Mbao Fc wanajaribu shuti nje ya 18 Mpira unagonga Mwamba wa Pembeni unarudi, Shambulizi zuri kabisa kwa Mbao Fc

Dakika 75

Stand United 0 – 1 Mbao Fc (9′ Yusuph Ndikumana – Pen)

Dakika ya 82 Stand United wanakoswa bao jingine, Kona

Zimeongezwa Dakika 4

Dakika ya 90 Sixtus Sabilo anawakosa Mbao goli

Mbao wanajaribu kufanya shambulizi la Nguvu Stand Wanaokoa

FULL TIME

Stand United 0 – 1 Mbao Fc (9′ Yusuph Ndikumana – Pen)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY