Matokeo VPL : Njombe Mji vs Mtibwa Sugar 20 May 2018

Matokeo VPL : Njombe Mji vs Mtibwa Sugar 20 May 2018

0

Matokeo VPL : Njombe Mji vs Mtibwa Sugar 20 May 2018

Mtibwa Sugar wamepata Ushindi wa bao 1 kwa sifuri dhidi ya Njombe Mji waliokuwa Nyumbani uwanja wa Sabasaba.

Bao la Mtibwa limefungwa na Hassan Dilunga dakika ya 81 ya Mchezo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY