Matokeo Yanga vs Ruvu Shooting leo 25 May 2018

Matokeo Yanga vs Ruvu Shooting leo 25 May 2018

0

Matokeo Yanga vs Ruvu Shooting leo 25 May 2018

Matokeo mechi ya Ligi Kuu kati ya Yanga na Ruvu Shooting leo 25 May 2018, Ruvu wanatafuta heshima mbele ya Yanga wakati Yanga inatafuta points ili iweze kuchuana nafasi ya Pili na Azam Fc

Tutaanza Kukuletea Matokeo kuanzia saa kumi kamili kutoka uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam

Timu zinaingia uwanjani tayari kwa pambano

Mechi Imeanza katika uwanja wa Uhuru

Yanga 0 – 0 Ruvu Shooting

Mechi imeanza kwa Taratibu sana huku zikijaribu kupiga pasi za Hapa Na Pale

Dakika 5

Yanga 0 – 0 Ruvu Shooting

Dakika ya 6 Yanga wanapata Kona, Inapigwa na Emmanuel Martin Makapu anapiga Kichwa inaenda Nje.

Dakika 10

Yanga 0 – 0 Ruvu Shooting

Dakika ya 11 Hassan Kessy anawekewa pasi na Emmanuel martin lakini shuti lake linapaa Juu

Dakika ya 14 Tshishimbi anajaribu shuti la Chini lakini linaenda nje la Lango

Dakika ya 16 Acrobatic ya Matheo Anthony inashindwa kulenga bao

Goaaaaaal Dakika ya 19 Matheo Anthony anaturn na kufunga Moja ya bao zuri, akitumia pasi ya Papy Kabamba Tshishimbi

Yanga 1 – 0 Ruvu Shooting

Dakika ya 23 Pius Buswita anakosa bao hapa baada ya Kupiga MPIRA unaowababatiza walinzi wa Ruvu

Dakika ya 25

Yanga 1 – 0 Ruvu Shooting (19′ Matheo Anthony)

Dakika ya 28 Ruvu Shooting wanapata Penati

Dakika ya 29 Hamis Mcha anafunga PENATI ya Ruvu Shooting, Yanga 1 – 1 Ruvu Shooting

Dakika ya 34 Kamusoko anapiga Mpira Unagonga Besela unarudi uwanjani

Dakika ya 37 Papy Tshishimbi anampenyezea Emmanuel martin pasi nzuri anapiga unapita pembeni ya Lango

Dakika ya 38 Edward Maka anafunga goli safi baada ya One Two yeye na Buswita, Aliupiga Maka kwa Buswita, Buswita akampa tena Maka kwa Mbele Maka akakutana Nao na Kupiga Shuti kali.

Yanga 2 – 1 Ruvu Shooting (19′ Matheo Anthony, 29′ Mcha, 38′ Maka Edward )

HALF TIME

Yanga 2 – 1 Ruvu Shooting (19′ Matheo Anthony, 29′ Mcha, 38′ Maka Edward )

KIPINDI CHA PILI

Issa Kanduru anaisawazishia Ruvu Shooting bao, Yanga 2 – 2 Ruvu Shooting

Dakika ya 50

Yanga 2 – 2 Ruvu Shooting (19′ Matheo Anthony, 29′ Mcha, 38′ Maka Edward, 46′ Kanduru )

Dakika ya 55

Yanga 2 – 2 Ruvu Shooting (19′ Matheo Anthony, 29′ Mcha, 38′ Maka Edward, 46′ Kanduru )

Kwasasa Ni Dakika ya 75 Bado ni 2 kwa 2 Katika Uwanja wa Uhuru

Dakika ya 85

Yanga 2 – 2 Ruvu Shooting (19′ Matheo Anthony, 29′ Mcha, 38′ Maka Edward, 46′ Kanduru )

FULL TIME

Yanga 2 – 2 Ruvu Shooting (19′ Matheo Anthony, 29′ Mcha, 38′ Maka Edward, 46′ Kanduru )

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY