Mbao Fc wajinasua Rasmi kushuka Daraja

Mbao Fc wajinasua Rasmi kushuka Daraja

0

Mbao Fc wajinasua Rasmi kushuka Daraja

Timu ya Mbao Fc imejinasua Rasmi kushuka Daraja Msimu Huu ikiwa na michezo miwili mkononi dhidi ya Yanga Dar Es Salaam na Ruvu Shooting ccm Kirumba

Mbao imefanikiwa kubakia ligi kuu msimu wa 2018/2019 BAADA ya kuwafunga Stand United ugenini bao 1 kwa 0 bao likipatikana na aliyekuwa nahodha wa Timu hiyo Yusuph Ndikumana dakika ya 9 kwa njia ya penati.

Mbao wamefikisha Points 30 ambazo haziwezi kufikiwa na Maji Maji, Ndanda na Njombe Mji ambazo ndizo Mkiani mwa msimamo.

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY