Mechi 4 Kuchezwa Ligi Kuu VPL 19 May 2018

Mechi 4 Kuchezwa Ligi Kuu VPL 19 May 2018

0

Mechi 4 Kuchezwa Ligi Kuu VPL 19 May 2018

Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara itaendelea leo kwa Michezo minne Kuchezwa katika viwanja mbalimbali.

Mechi ya Kwanza Kabisa itakuwa kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar itaanza saa nane na Robo Mchana Uwanjwa Taifa Dar Es Salaam.

> Habari za Michezo <

Nao Mwadui Fc watakuwa wenyeji wa Yanga kutoka Jijini Dar Es Salaam, Mechi itaanza saa kumi kamili uwanja wa ccm Kambarage Mkaoni Shinyanga, Mechi ya Kwanza kati ya mwadui na Yanga iliisha kwa sare.

Lipuli wanapaluengo watakuwa wenyeji wa Mbeya City uwanja wa Samora, Lipuli Fc wapo katika nafasi nzuri ya Kutoshuka daraja pia Mbeya City nao wapo katika nafasi nzuri.

Singida United msomaji wa Kwataunit  watakuwa Nyumbani Namfua Stadium kucheza na Maji Maji ambao wanapambana kuhakikisha wanasalia Ligi Kuu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY