Mechi 8 zakuhitimisha Msimu wa 2017/2018 VPL Hizi Hapa

Mechi 8 zakuhitimisha Msimu wa 2017/2018 VPL Hizi Hapa

0

Mechi 8 zakuhitimisha Msimu wa 2017/2018 VPL Hizi Hapa

Leo 28 May 2018 zitachezwa jumla ya mechi 8 Kuhitimisha Ligi Kuu soka ya Tanzania bara VPL.

Mechi zote zitaanza majira ya saa kumi kamili kasoro mechi ya uwanja wa Taifa kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc ambayo Itaanza saa mbili kamili usiku.

04:00 PM

Samora Stadium
Lipuli FC Kagera Sugar FC

04:00 PM

Sokoine Stadium
Tanzania Prisons FC Singida United FC

04:00 PM

Nangwanda Stadium
Ndanda FC Stand United FC

04:00 PM

Manungu Complex
Mtibwa Sugar FC Mbeya City FC

04:00 PM

Sabasaba Stadium
Njombe Mji FC Mwadui FC

04:00 PM

CCM Kirumba Stadium
Mbao FC Ruvu Shooting FC

04:00 PM

Majimaji Stadium
Majimaji FC Simba SC

08:00 PM

National Stadium
Young Africans SC Azam FC

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY