Ngassa aonekana Makao makuu Yanga Uongozi wafunguka kuhusu tetesi za Kumsajili

Ngassa aonekana Makao makuu Yanga Uongozi wafunguka kuhusu tetesi za Kumsajili

0

Ngassa aonekana Makao makuu Yanga Uongozi wafunguka kuhusu tetesi za Kumsajili

Kuelekea mwishoni wa Msimu huu zilianza tetesi mbalimbali zikimhusisha Mchezaji wa Zamani wa Yanga Mrisho Halfan Ngassa.

Ukiachana na Story hizo msomaji wa Kwataunit inasemekana Ngassa ameonekana kwenye makao makuu ya Yanga hali ambayo ilizua maswali mengi kuhusu safari yake ya Kwenda makao makuu ya Jangwani.

Lakini mwenyekiti wa kamati ya usajili klabu ya Yanga Hussein Nyika amefunguka na Kusema kuwa Kwasasa hawajaanza usajili mpaka watakapopitia ripoti ya Benchi la Ufundi.

” Bado bado hatujaanza kufanya usajili  maana hatuwezi kufanya usajili bila Kupata Ripoti ya Mwalimu “

KUHUSU KUONEKANA KLABUNI

Nyika amefunguka kuwa Ni kweli Ngassa alienda Klabuni Yanga kutembea wakakuatana na Kupiga Tu Story

” Alikuja tu kutembea Klabuni kwake bahati mbaya au nzuri tukagingana pale tukapiga Story Basi. “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY